Перейти к содержимому

MSAMAHA | Nguvu ya Kuachilia Chuki na Kuponya Moyo Wako.

Hub of Wisdom Inc.

0:00 / 0:00

MSAMAHA | Nguvu ya Kuachilia Chuki na Kuponya Moyo Wako.

1 326 просмотров · 10 месяцев назад
Hub of Wisdom Inc.
139 тыс. подписчиков
1 326 просмотров · 10 месяцев назад
“Chuki Humuumiza Anaeihifadhi.” Hili ni somo la lenye nguvu likitukumbusha kwamba tunapokosewa, anayekosewa si sisi bali ni Mungu mwenyewe. Kupitia mafundisho haya, tunajifunza kwamba msamaha ni tendo linalotuweka huru na kuturudisha katika uhusiano wa kweli na Mungu na Kukosa kusamehe ni kuzuia rehema za Mungu kufika kwako hivyo faida kuu ya kusamehe si kwa ajili ya aliyekukosea bali wewe mwenyewe. ✨ Maneno ya Pr. Paul Semba yatagusa moyo wako na kukusaidia kuelewa kwa undani kwa nini msamaha ni sehemu ya safari ya wokovu. 🙏 Tazama, tafakari, na shiriki ujumbe huu na mtu anayehitaji kusikia neno hili leo. 📺 Usisahau kufuatilia Chaneli yetu kwa mafundisho zaidi yenye kuleta mabadiliko chanya. #Msamaha #PrPaulSemba #HWMEDIA #AmaniYaNdani #HubOfWisdom.