Перейти к содержимому

KUNENA KWA LUGHA

MZIZIMA SDA CHURCH

0:00 / 0:00

KUNENA KWA LUGHA

210 просмотров · 1 год назад
MZIZIMA SDA CHURCH
2,8 тыс. подписчиков
210 просмотров · 1 год назад
Je, karama ya kunena kwa lugha ndiyo udhihirisho pekee wa kuwa na Roho Mtakatifu? Je, kunena kwa lugha ni kuzungumza lugha ambayo haitambuliki kwa mzungumzaji na hata msikilizaji pia? Karibu ujifunze ukweli huu ambao Mungu ametupatia kwa ajili ya wokovu na usalama wetu juu ya hila za Muovu Shetani Pia usisite kusambaza link hii kwa Ndugu, jamaa na Marafiki ili sote tupate Kuokolewa Mungu akubariki