Перейти к содержимому

Mchimba Riziki: Walah Bin Walah Mwandishi Mtajika

Citizen TV Kenya

0:00 / 0:00

Mchimba Riziki: Walah Bin Walah Mwandishi Mtajika

10 587 просмотров · 13 лет назад
Citizen TV Kenya
6,68 млн подписчиков
10 587 просмотров · 13 лет назад
Ni mwandishi ambaye anafahamika sana kwa kuleta wimbi jipya la kiswahili nchini, na kwake lugha ya kiswahili ndiyo kitega uchumi. Kando na hayo amejitolea kujitwika jukumu la kuwatuza wanaokuza na walio na ari ya kujua kiswahili kupitia hafla anazoandaa kila mwaka. Mwanahabari wetu Victor Wetende alimtembelea na si mwengeni bali ni Ustadh Wallah Bin Wallah ili aweze kujua zaidi namna anavyochimba riziki kutokana na uandishi wake wa zaidi ya miaka 20.