USIFANYE HAYA MAMBO MANNE (4) UGENINI.
WANU TV
0:00 / 0:00
USIFANYE HAYA MAMBO MANNE (4) UGENINI.
353 просмотра · 3 месяца назад
WANU TV
4,28 тыс. подписчиков
353 просмотра · 3 месяца назад
Kuna tabia ndogo ndogo ambazo watu huzifanya wakiwa ugenini bila kujua kuwa zinawachosha wenyeji wao na kuharibu heshima zao kabisa. Kwenye video hii, tunaangalia mambo 4 usiyopaswa kufanya kamwe ukiwa mgeni ili usichukiwe kimya kimya na uendelee kukaribishwa kwa furaha. Je, ni tabia gani ya wageni inakuboa zaidi? Shuka kwenye comments tuchati!