YANGA WASHINDWE WENYEWE TU!! CAF WATOA MABADILIKO YA MCHEZO WA CFFA vs YANGA SC KLABU BINGWA..
Bilomo tv
0:00 / 0:00
YANGA WASHINDWE WENYEWE TU!! CAF WATOA MABADILIKO YA MCHEZO WA CFFA vs YANGA SC KLABU BINGWA..
18 582 просмотра · 2 дня назад
Bilomo tv
16 тыс. подписчиков
18 582 просмотра · 2 дня назад
#usisahaukusubscribebilomotv
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa mabadiliko makubwa na ya upendeleo wa kipekee kwa klabu ya Young Africans S.C. (Yanga), baada ya kuidhinisha michezo yote miwili ya raundi ya pili ya kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CFFA ya Madagascar kuchezwa nchini Tanzania.