Перейти к содержимому

JESSICA AANIKA SIRI ZA FRED VUNJA BEI! ASEMA HUYU SI MPENZI WANGU -“AZIZ NI MKWE WANGU!”

Global TV Online

0:00 / 0:00

JESSICA AANIKA SIRI ZA FRED VUNJA BEI! ASEMA HUYU SI MPENZI WANGU -“AZIZ NI MKWE WANGU!”

3 116 просмотров · 14 ч назад
Global TV Online
5,97 млн подписчиков
3 116 просмотров · 14 ч назад
JESSICA AANIKA SIRI ZA FRED VUNJA BEI! ASEMA HUYU SI MPENZI WANGU -“AZIZ NI MKWE WANGU!” Jessica anaeleza kwa undani ushirikiano wao kibiashara, kwa nini watu huwahusisha kimapenzi, na msimamo wake kuhusu uhusiano huo. Pia, afunguka kuhusu mzazi mwenzake Azel, sababu za kumuita kiungo wa Yanga, Stephane Aziz Ki "mkwe wangu", mipango yake ya ndoa ya mwaka 2027, pamoja na uwekezaji wake katika tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com