Перейти к содержимому

Magari kadhaa yateketezwa, watu wawili wahofiwa kufariki kufuatia ghasia wakati wa mkutano Embu

KBC Channel 1

0:00 / 0:00

Magari kadhaa yateketezwa, watu wawili wahofiwa kufariki kufuatia ghasia wakati wa mkutano Embu

3 818 просмотров · 3 дня назад
KBC Channel 1
779 тыс. подписчиков
3 818 просмотров · 3 дня назад
Magari kadhaa yaliteketezwa huku watu wawili wakihofiwa kuaga dunia baadaya ghasia kuzuka uwanja wa Nembure kaunti ya Embu wakati wa mkutano ulioandaliwa na naibu rais Kithure Kindiki. Maafisa wa polisi walilazimika kurusha gesi ya kutoza machozi baada ya wakazi waliozuiwa kuingia kwenye mkutano huo wa maafisa wa uchaguzi wa chama cha UDA kukabiliana na maafisa wa usalama. Naibu rais Kithure Kindiki na chama cha UDA wameshtumu ghasia hizo wakielezea masikitiko yao kutokana na uharibifu huo na kutoa wito wa uchunguzi wa haraka. Gavana wa Embu Cecily Mbarire amemkosoa mbunge wa eneo hilo kwa madai ya kuchochea ghasia hizo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook:   / kbcchannel1tv   Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive