Перейти к содержимому

BABA MADENGE KUMCHOMESHA MADENGE KWA MZUNGU - VICHEKESHO

Kuguta

0:00 / 0:00

BABA MADENGE KUMCHOMESHA MADENGE KWA MZUNGU - VICHEKESHO

1 007 014 просмотров · 6 лет назад
Kuguta
179 тыс. подписчиков
1 007 014 просмотров · 6 лет назад
Huu ni mwendelezo wa stori ya Madenge, ambapo katika sehemu iliyopita iliishia ikimwonyesha mlinzi akiwakimbiza Madenge na Dimoso kwa nia ya kuwakamata ili wataje mtoto msichana wa Mzungu alipo. Bonyeza link ya hapa chini ili kuangalia mfululizo wa stori ya Madenge mwanzo hadi sasa ilipofikia:-    • MFULULIZO WA EP. YA MADENGE NA MZUNGU "A - Z"