Перейти к содержимому

🔴 LIVE: FUNGUA FURSA GEITA 2026 | MKUU WA MKOA WA GEITA AONGOZA JUKWAA LA FURSA ZA KIUCHUMI

Daily News Digital

0:00 / 0:00

🔴 LIVE: FUNGUA FURSA GEITA 2026 | MKUU WA MKOA WA GEITA AONGOZA JUKWAA LA FURSA ZA KIUCHUMI

1 097 просмотров · Трансляция закончилась 4 часа назад
Daily News Digital
284 тыс. подписчиков
1 097 просмотров · Трансляция закончилась 4 часа назад
🔴 TUKO MUBASHARA KUTOKA GEITA! Fuatilia Jukwaa la Fursa za Kiuchumi – FUNGUA FURSA GEITA 2026, linaloandaliwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita. 👤 MKUU WA MKOA WA GEITA, MGENI RASMI, ANAONGOZA JUKWAA HILI LINALOWAKUTANISHA WAWEKEZAJI, WAFANYABIASHARA, WADAU WA MAENDELEO NA WANANCHI. 💼 Jukwaa linaweka wazi fursa za uwekezaji na biashara katika sekta za MADINI, ARDHI, VIWANDA NA BIASHARA, pamoja na fursa zinazopatikana katika wilaya tano na halmashauri sita za Mkoa wa Geita. ⛏️ Tukio linafanyika sambamba na MAONYESHO YA TISA YA TEKNOLOJIA YA MADINI katika Viwanja vya Dk. Samia Suluhu, Geita. 📍 UKUMBI WA MKAPA, VIWANJA VYA DK. SAMIA SULUHU – GEITA 📡 ENDELEA KUFUATILIA MATUKIO HAYA MUBASHARA KUPITIA TSN. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-1769382496709093   HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09 @Daily News Digital @Daily News Digital @Daily News Digital