Vocal Frey feat Fiston Acumbo LÙSAMBO [Official video 4k]
VOCAL FREY TZ и JP Talent Music
0:00 / 0:00
Vocal Frey feat Fiston Acumbo LÙSAMBO [Official video 4k]
11 311 просмотров · 6 мес. назад
VOCAL FREY TZ и JP Talent Music
11 311 просмотров · 6 мес. назад
Artist: Vocal Frey Ft Fiston Acumbo
Song: LÚSAMBO
Director: THE DON
Karibu uisikilize na kuitazama video mpya ya wimbo Lùsambo kutoka kwa Vocal Frey akishirikiana na Fiston Acumbo.
Wimbo huu wa injili umebeba ujumbe mzito wa matumaini, imani na shukrani kwa Mungu katika kila hatua ya maisha.
Kupitia Lùsambo, tunakumbushwa kwamba hata katikati ya changamoto, Mungu bado anatupigania na kutuongoza. Ni wimbo wa kuimarisha imani na kuleta faraja kwa kila anayesikiliza.
🙏 Kama umebarikiwa na wimbo huu:
✔️ Like video
✔️ Comment utoe maoni yako
✔️ Share ili ujumbe uwafikie wengi zaidi
✔️ Subscribe kwenye channel kwa kazi zaidi za baraka.
Mungu awabariki sana kwa support yenu.
#GospelMusic #Lusambo #VocalFrey #FistonAcumbo #GospelTanzan
©© copyright 2026 ©© copyright 2026
All platform
Facebook:https://www.facebook.com/profile.php?...