Перейти к содержимому

NENO LA SIKU | Matendo 5 | Maombi Ya Kufunguliwa Milango | Isaac Javan

Neno La Siku

0:00 / 0:00

NENO LA SIKU | Matendo 5 | Maombi Ya Kufunguliwa Milango | Isaac Javan

4 297 просмотров · 1 год назад
Neno La Siku
11 тыс. подписчиков
4 297 просмотров · 1 год назад
Leo tunasoma kitabu cha Matendo ya Mitume sura ya tano na tunaenda kufanya maombi ya kufunguliwa milango. Ipo milango ya kiroho inayotakiwa kufunguka ili utimize kusudi la Mungu kwenye maisha yako. Ipo milango ya kiroho inayotakiwa kufunguka ili uishi maisha yenye kibali, na ushindi. Katika maombi ya leo, YESU anaenda kutufungulia milango iliyofungwa, ili tuweze kuishi maisha ya ushindi sawasawa na ahadi ya neno lake. Nakuombea ufunguliwe na maisha yako yabadilike kupitia maombi ya leo. Mungu akubariki sana. Ameen Isaac Javan +255745 764572 #tanzania #kenya #uganda #millardayo #maombi #mafundisho #nenolamungu #biblia #prayer #prayerpoints #annointing #ukombozi #uponyaji #shuhuda #yesu #maombiyasiku #zaburi #holyspirit #arusha #dodoma #gwajima #mwalimu #gospel #injili #injiliyakristo #upendo #wokovu #heaven #semina #mkutano #maisha #toba #trending #huduma #deliveranceprayer #pastor #nyimbo #tenzizarohoni #zabronsingers #gospelmusic #habari