YESU ANAFUFUA VILIVYO KUFA NA KUOZA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Bishop Sunbella Kyando
0:00 / 0:00
YESU ANAFUFUA VILIVYO KUFA NA KUOZA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
43 131 просмотр · 4 года назад
Bishop Sunbella Kyando
54,5 тыс. подписчиков
43 131 просмотр · 4 года назад
Ndugu wa Lazaro waliumizwa sana kwa kifo chake, Martha ndugu yake Lazaro ndiye alikua wa kwanza kupinga kupndolewa kwa jiwe kwasababu ya hali ya mwili wa Lazaro ndani ya kaburi.
Kuna nyakati Yesu hujitafutia mazingira ya kufufua vilivyokufa na vilivyo OZA.
Wakati mwingine unapopitia changamoto ngumu, unapaswa kufahamu Mungu anakuangalia kwa jicho la karibu sana. Kadri ambavyo mambo yanazidi kuwa magumu ndivyo ambavyo na yeye anazidi kuwa karibu zaidi. Anafanya kazi yake kimya kimya ndo maana ni rahisi kusema Mungu ameniacha.
#PastorSunbella#Kufufua#VilivyoKufa