Перейти к содержимому

REV. DR. ELIONA KIMARO: USIKU ULE/ THAT NIGHT/ IBADA YA ALHAMISI KUU

Rev. Dr. Eliona Kimaro

0:00 / 0:00

REV. DR. ELIONA KIMARO: USIKU ULE/ THAT NIGHT/ IBADA YA ALHAMISI KUU

8 881 просмотр · 2 г. назад
Rev. Dr. Eliona Kimaro
215 тыс. подписчиков
8 881 просмотр · 2 г. назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA ALHAMISI KUU NA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA 28/ 03/ 2024 HII NI KWARESMA: SIKU YA 38 MADA: NIDHAMU NI HATIMA DISCIPLINE IS DESTINY UJUMBE WA LEO:USIKU ULE/THAT NIGHT NENO KUU 7 Bwana wa majeshi asema hivi, Zitafakarini njia zenu. Hagai 1 : 7 Mathayo 26 : 26 - 29 26 Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu 27 Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, Nyweni nyote katika hiki; 28 kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi. 29 Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu. Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053