Перейти к содержимому

TUKO BENETI OMARI KOPA /T.O.T. TARAAB

Mwambao muziki wetu

0:00 / 0:00

TUKO BENETI OMARI KOPA /T.O.T. TARAAB

70 118 просмотров · 9 лет назад
Mwambao muziki wetu
30,7 тыс. подписчиков
70 118 просмотров · 9 лет назад
Fundi ukimuita hivyo wala hujakosea kiukweli,Omari kopa anajua na toka afariki bado sijaona mtu wa kuweza kuziba pengo lake.Hii inatoka na kile alichokuwa akikifanya ni cha kipekee,wengi wamejalibu kuimba kama yeye lakini bado hawawezi kuwa yeye.Tufagilieni ndio jina la wimbo naamini utakubaliana na mimi kwa kile ninachokisema.