Jussa: Hussein Mwinyi hana rikodi ya kuitetea Zanzibar
Weyani Tv
0:00 / 0:00
Jussa: Hussein Mwinyi hana rikodi ya kuitetea Zanzibar
28 961 просмотр · 6 лет назад
Weyani Tv
99 тыс. подписчиков
28 961 просмотр · 6 лет назад
Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo, Ismail Jussa, amesema mgombea wa urais kupitia CCM, Hussein Mwinyi, hana rikodi yoyote ya kuitetea Zanzibar na hivyo hawezi kuaminiwa na Wazanzibari kuwa raisi wao. Hayo aliyasema leo kwenye mkutano wa kampeni za urais kwenye jimbo la Shauri Moyo.