Перейти к содержимому

BILA SADAKA, MAOMBI YAKO YANAWEZA KUJIBIWA? | Ukweli Kuhusu Maombi na Sadaka #kingdomphilosophy

Mwalusambo International Ministry

0:00 / 0:00

BILA SADAKA, MAOMBI YAKO YANAWEZA KUJIBIWA? | Ukweli Kuhusu Maombi na Sadaka #kingdomphilosophy

1 092 просмотра · 2 недели назад
Mwalusambo International Ministry
5,93 тыс. подписчиков
1 092 просмотра · 2 недели назад
Mungu hajibu maombi kwa sababu tu umetoa sadaka. Sadaka si malipo ya majibu ya maombi, wala si njia ya kumnunua Mungu. Yeye hujibu maombi kwa mapenzi, neema na wakati wake. Katika ujumbe huu, utajifunza ukweli wa kibiblia kuhusu nafasi ya maombi, imani na sadaka katika uhusiano wetu na Mungu. Tazama hadi mwisho, kisha Like, Subscribe na ushiriki ujumbe huu na wengine. #Maombi #Sadaka #Imani #NeemaYaMungu #NenoLaMungu