MISA TAKATIFU YA JUBILEI YA DHAHABU YA UPADRE WA PADRE MBUYA KUTOKA KANISA KUU JIMBONI TANGA
St. Anthony's Cathedral Tanga
0:00 / 0:00
MISA TAKATIFU YA JUBILEI YA DHAHABU YA UPADRE WA PADRE MBUYA KUTOKA KANISA KUU JIMBONI TANGA
680 просмотров · Трансляция закончилась 2 недели назад
St. Anthony's Cathedral Tanga
2,43 тыс. подписчиков
680 просмотров · Трансляция закончилась 2 недели назад
Mpendwa mtazamaji wetu wa ST. ANTHONY'S CATHEDRAL TANGA karibu katika Ibada Misa Takatifu ya Jubilei ya Dhahabu ya Upadre wa Padre Fratenus Mbuya kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Anthony wa Padua - Chumbageni, Jimbo Katoliki Tanga tarehe 22.08.2026 kuanzia saa nne kamili Asubuhi (10:00)
Adhimisho la Misa Takatifu linaongozwa na Mhashamu Thomas John Kiangio Askofu wa Jimbo Katoliki Tanga.
Jiunge nasi kwa KUSUBSCRIBE Channel yetu ya St. Anthony's Cathedral Tanga ili uweze kupata Taarifa na Matukio Mbalimbali MUNGU AKUBARIKI SANA.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Karibu Mpendwa katika kitengo hiki cha habari kinachomilikiwa na Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua Chumbageni Tanga. Pia unaweza kutufuatilia katika mitandao ya kijamii
INSTAGRAM:- st.anthony'scathedraltanga
FACEBOOK:-st.anthony'scathedraltanga
TIKTOK:-st.anthony'scathedraltanga
Mawasliano:-
St. Anthony's Cathedral Tanga Media
S.L. P 84 Tanga,
0672 350 777