TOP JAY AWASHAMBULIA WASANII WA SHANZU, ASEMA HAWAMFIKII HATA ROBO | CHILL NA CELEB
SONS OF SHANZU{ SOS TV} - SHANZU TV
0:00 / 0:00
TOP JAY AWASHAMBULIA WASANII WA SHANZU, ASEMA HAWAMFIKII HATA ROBO | CHILL NA CELEB
57 просмотров · 1 день назад
SONS OF SHANZU{ SOS TV} - SHANZU TV
609 подписчиков
57 просмотров · 1 день назад
Msanii kutoka Shanzu, Top Jay, anakutana na Presenta Mopao kwenye kipindi cha CHILL NA CELEB ndani ya Shanzu TV, ambapo anadai kuwa wasanii wa Shanzu wanaoimba nyimbo za mahaba hawamfikii hata robo. Aidha, anasema baadhi ya wasanii wenzake wana chuki dhidi yake na wanam-unfollow kwenye mitandao ya kijamii. Pia, anafunguka kuhusu collabo yake na rapper Tory, anayejulikana kama Chatu. Je, haya ni majivuno au ushindani mkali katika muziki wa Shanzu? Tazama mahojiano kamili kwenye Shanzu TV!
#ChillNaCeleb #ShanzuTV #TopJay #PresentaMopao #ToryChatu #ShanzuMusic #CoastMusic #KenyanMusic