Перейти к содержимому

TAZAMA MUONEKANO HUU MPYA WA KUVUTIA WA MJI WA SONGEA/BILIONI 22 ZATUMIKA KUUBADILISHA

ICON TV TZ

0:00 / 0:00

TAZAMA MUONEKANO HUU MPYA WA KUVUTIA WA MJI WA SONGEA/BILIONI 22 ZATUMIKA KUUBADILISHA

526 просмотров · 1 год назад
ICON TV TZ
207 тыс. подписчиков
526 просмотров · 1 год назад
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 22 kutekeleza mradi wa ujenzi wa barabara za lami katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile amesema mradi huo upo katika hatua za umaliziaji na kwamba barabara mpya za lami zimeufanya mji wa Songea kuvutia na kuonekana mji wa kisasa