Перейти к содержимому

🕋AL-MUKARRAMAH HAJJ AND TRAVELLING AGENCY TUNAKUSHIKA MKONO KUTEKELEZA IBADA YA HIJJA 🕋

AL-MUKARRAMAH HAJJ AND UMRAH

0:00 / 0:00

🕋AL-MUKARRAMAH HAJJ AND TRAVELLING AGENCY TUNAKUSHIKA MKONO KUTEKELEZA IBADA YA HIJJA 🕋

61 просмотр · 9 дней назад
AL-MUKARRAMAH HAJJ AND UMRAH
28 подписчиков
61 просмотр · 9 дней назад
Karibu katika taasisi yetu pendwa ya AL-MUKARRAMAH, ili usafiri nasi katika safari tukufu ya kutekeleza ibada ya Hijja. 🕋🤲 Tunatambua umuhimu wa maandalizi sahihi katika safari hii yenye fadhila kubwa. Ndiyo maana tunatoa mafunzo ya Hijja mwaka mzima, ili kukuandaa kwa elimu sahihi ya ibada na kukusaidia kutekeleza ibada zako kwa uelewa na utulivu. ✅ Mafunzo ya Hijja mwaka mzima. ✅ Mwongozo na maandalizi ya safari ya Hijja. ✅ Utoaji wa vifaa vyote muhimu kwa ajili ya safari ya ibada. Usisubiri hadi wakati wa safari ufike ndipo uanze maandalizi. Anza kujifunza mapema, jiandae kwa uhakika na usafiri nasi katika safari hii tukufu. Jifunze, jiandae na jitahidi kuitekeleza ibada hii kwa kufuata mafundisho sahihi. 📌 Tunakuomba :- ✅ Tazama video hadi mwisho. 👍 Bonyeza LIKE. 📲 SHARE na wengine ili nao wanufaike. 🔔 SUBSCRIBE kwenye channel yetu ili usikose video na mafunzo mapya. 🤲 Allah ﷻ atujaalie sote wepesi wa kutekeleza ibada ya Hijja na atupokee ibada zetu. AL-MUKARRAMAH – Tunakushika mkono katika kutekeleza ibada ya Hijja na Umra. 📲 Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi kupitia. 0772 909 250 | 0773 163 929 | 0773386030 #AlMukarramah #SafariYaHijja #MafunzoYaHijja #MaandaliziYaHijja #HajjAndTravellingAgency