KUNA SABABU BY MELODY CHILDREN CHOIR (officiel video 2024)
Melody Children Choir
0:00 / 0:00
KUNA SABABU BY MELODY CHILDREN CHOIR (officiel video 2024)
1 480 просмотров · 1 г. назад
Melody Children Choir
577 подписчиков
1 480 просмотров · 1 г. назад
#gospelmusic2024 #worshipmusic
Writer:Heris Muombamungu
Production:Horizon media
Video:Eric Mugenzi
Audio:Narada
instrumental :TonyMcNorbert
Instagram: https://www.instagram.com/childrensme...
tikTok:https://www.tiktok.com/@childrens.mel...
facebook:https://www.facebook.com/profile.php?...
--Lyrics--
stanza I
Maishani Mwangu, ni me gundua kitu moja,
Kwamba kuna anaye shugulika na kuwepo kwangu.
Tena si mwingine ni Yesu aliye fariki hapo
Kalvari.
Chorus
Kuna sababu ,Kuna sababu ambayo ina tuma niku pende
Wewe ambaye uli ni penda mbele sina chaku ku toleya
Ila ni kuwa wako siku hizi zina pita Asante
stanza II
Nimepitiya visa vingi maishani
Kamwe sijaona aliye kama nawe Yesu
Ukaacha utukutu naheshima kwaajili yangu
Kweli thamani hiyo ni ya ajabu