Yesu ni Rafiki wa Milele
REBUKE,WORSHIP&RRAISE TIME
0:00 / 0:00
Yesu ni Rafiki wa Milele
325 просмотров · 12 дн. назад
REBUKE,WORSHIP&RRAISE TIME
12 подписчиков
325 просмотров · 12 дн. назад
Rafiki Yangu - Wimbo mpya wa Injili
Nimezunguka dunia nzima,
Nimetafuta marafiki wengi
Wengine waliniacha njiani
Lakini wewe ukanishika mkono...
CHORUS:
Yesu ni rafiki yangu, rafiki wa kweli
Usiku na mchana huniacha kamwe
Nikilia unanifuta machozi
Yesu ni rafiki yangu wa milele...
🙏 Subscribe kwa nyimbo za dini kila wiki:
/ @eaebela
#RafikiYangu #GospelTanzania #EvitaAbela #YesuNiRafiki #NyimboZaDini