Перейти к содержимому

Darsa Tafsiri ya Surat Hadiyd 03 (24092026)

shabibu (AbuMaryam)

0:00 / 0:00

Darsa Tafsiri ya Surat Hadiyd 03 (24092026)

19 просмотров · 12 дней назад
shabibu (AbuMaryam)
100 подписчиков
19 просмотров · 12 дней назад
Assalaam Alaykum Warhmatullaah Wabarakatuh. Hii ni muendelezo wa Darsa za Quraan tukufu zinazoendeshwa kwa njia ya mtandao (zoom) na kusimamiwa ni Ustadh Suleiman Abdulrahman Mohammed na kuendeshwa ni walimu/masheikh kadhaa. Darsa ilihusu Tafsir ya Surah Al-Hadiyd aya ya 17-21 iliyowasilishwa ni Ustadh Suleiman Mohammed Abdulrahman siku ya 24/09/2026. Zifuatazo ni dondoo za Darsa ya leo: 1. Mafikio na malipo bora watayo yapata watoaji wa sadaqa kwaajili ya Allah سبحانه وتعالى 2. Sifa a watu wa kweli na Mashahidi na malipo yao mbele ya Allah سبحانه وتعالى 3. Harakati za dunia ni utafutaji, burudani na maisha ya kijamii. Chungune mipaka ya kidiniktk kila nyanja mnayopitia na wala dunia isiwavuruge 4. Kimbilieni na shindaneni ili mzipate rehma naneema zake Allah سبحانه وتعالى na msamaha wake pamoja na radhi zake alizo waandalia waja wake wema Darsa hili zinafanyika Jumatatu hadi Alkhamis saa 7.30 wakati wa Ramadhani na kila Alkhamis tu nje ya Ramadhan. Ratiba inaweza kubadilika kulingana na wakati. Tumia kiungo kifuatacho kujiunga. https://us02web.zoom.us/j/81136216978... Meeting ID: 811 3621 6978 Passcode: DARSA2025 Tukumbuke kuwaalika na kuwashirikisha ndugu kwenye kheri hii kwami Mtume Muhammad ﷺ amesema: مَنْ دَعَا إِلَى هُدىً كانَ لهُ مِنَ الأجْر مِثلُ أُجورِ منْ تَبِعهُ لاَ ينْقُصُ ذلكَ مِنْ أُجُورِهِم شَيْئًا na من دل على خير فله مثل أجر فاعله Shukran