SINTOFAHAMU YATANDA KITUO CHA MABASI TEMEKE MWISHO
Daily News Digital
0:00 / 0:00
SINTOFAHAMU YATANDA KITUO CHA MABASI TEMEKE MWISHO
863 просмотра · 1 дн. назад
Daily News Digital
286 тыс. подписчиков
863 просмотра · 1 дн. назад
DAR ES SALAAM: HALI ya sintofahamu imetanda katika eneo la kituo cha mabasi yaendayo mikoa ya Kusini, kilichopo Temeke Mwisho, jijini Dar es Salaam, kufuatia kuvunjwa kwa eneo hilo baada ya kutolewa kwa agizo la kusitisha shughuli zote ndani ya saa 24.
Baadhi ya wananchi waliokuwa wakitegemea eneo hilo kwa shughuli mbalimbali, ikiwemo biashara, wameeleza hali iliyopo sasa na changamoto wanazokabiliana nazo kufuatia hatua hiyo.
Wananchi hao wamezungumza na Daily News Digital, wakieleza athari za kuvunjwa kwa eneo hilo katika shughuli zao za kila siku.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09