Перейти к содержимому

NAMNA YA KUTUMIA UWEZO NA MAMLAKA YA MUNGU ILIYOMO NDANI YAKO// MCH. RAPHAEL JOSHUA/ Sehemu ya 2

Mch. Raphael Joshua

0:00 / 0:00

NAMNA YA KUTUMIA UWEZO NA MAMLAKA YA MUNGU ILIYOMO NDANI YAKO// MCH. RAPHAEL JOSHUA/ Sehemu ya 2

1 285 просмотров · 1 год назад
Mch. Raphael Joshua
7,51 тыс. подписчиков
1 285 просмотров · 1 год назад
NAMNA YA KUTUMIA MAMLAKA ILIYOMO NDANI YAKO ni somo zuri ambalo linakufundisha namna ya kuweza kutumia uwezo na mamlaka ya Mungu iliyo ndani yako. Watu wengi wapo ndani ya Yesu Kristo lakini wanaendelea kusumbuliwa na mapepo, hali hiyo inawapata kwa sababu ya kutojua namna ya kutumia mamlaka ya Mungu iliyo ndani yao Kama huna maarifa ya Neno la Mungu unaweza kunyanyaswa sana na Ibilisi hata kama umeokoka na unanena kwa lugha. Somo hili linakupa maarifa ya neno la Mungu ili ujue namna ya kutumia uwezo na mamlaka ya Mungu iliyo ndani yako. Mch. Raphael Joshua KLPT KILUVYA DAR ES SALAAM, TANZANIA