Biriani | Biryani | Jinsi yakupika biriani ya nyama na mayai tamu na rahisi sana .
Rukia Laltia
0:00 / 0:00
Biriani | Biryani | Jinsi yakupika biriani ya nyama na mayai tamu na rahisi sana .
747 342 просмотра · 6 лет назад
Rukia Laltia
439 тыс. подписчиков
747 342 просмотра · 6 лет назад
Website:rukiaskitchen.com
Facebook: Rukias kitchen
Instagram : rukias_kitchen
Cookpad: Rukias kitchen
👉🏽 Pilau | Pilau ya nyama | Mapishi rahisi ya pilau ya nyama yakuchumbuka na tamu sana. • Pilau | Pilau ya nyama | Mapishi rahisi ya...
👉🏽 JINSI YAKUPIKA BIRYANI YA KUKU NA MAYAI | BIRYANI | BIRYANI YA KUKU. • JINSI YAKUPIKA BIRYANI YA KUKU NA MAYAI | ...
👉🏽 BIRIANI | JINSI YAKUPIKA BIRYANI YA NYAMA YA NGOMBE | BIRYANI YA NYAMA | BIRYANI RAHISI | BIRYANI. • BIRIANI | JINSI YAKUPIKA BIRYANI YA NYAMA ...
👉🏽 Pilau ya kuku yakuchambuka | Jinsi yakupika pilau ya kuku yakuchambuka na tamu sana. • Pilau ya kuku | Jinsi yakupika pilau ya ku...
👉🏽 JINSI YAKUPIKA PILAU LA KUCHAMBUKA YA FASTA FASTA NA TAMU SANA | PILAU YA NYAMA | SWAHILI PILAU. • JINSI YAKUPIKA PILAU LA KUCHAMBUKA YA FAST...
👉🏽 JINSI YAKUPIKA BIRIYANI YA KAMBA YAKUCHANGANYA TAMU SANA NA KWA NJIA RAHISI | BIRIANI YA KAMBA. • JINSI YAKUPIKA BIRIYANI YA KAMBA YAKUCHANG...
MAHITAJI:-
nyama 1/2 kg
biriani powder kijiko 1 chakula
beefmasala kijiko 1 kidogo
manjano kijiko nusu kidogo
magi ama jumbo
garamasala kijiko 1 cha kula
vitunguu vya maji 4
kotmiri / dania
mafuta kikombe robo
maziwa mtindi vijiko 5 vya kula
kitunguusaumu na tangawizi vijiko 3 vya kula
chumvi
foodcoloring tafuati
viazi 4
tomato 4 kubwa
tomato mkebe vijiko 3 vya kula
ndimu 1
mayai 4 yakuchemshwa