Hivi ndivyo unavyoharibu usingizi wako na maisha yako bila kujua!
baswaer
0:00 / 0:00
Hivi ndivyo unavyoharibu usingizi wako na maisha yako bila kujua!
1 906 просмотров · 11 дн. назад
baswaer
31,3 тыс. подписчиков
1 906 просмотров · 11 дн. назад
Usingizi ni moja ya baraka kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu, lakini je, unajua kuwa kuna nidhamu na miiko maalum ya kulala na kujilaza iliyofundishwa na Dini yetu? Katika video hii, Sheikh Walid Alhad Omary anatufundisha kwa kina kuhusu "Mlango wa Nidhamu za Kulala na Kujilaza". Jifunze mambo muhimu unayotakiwa kuyazingatia kabla na wakati wa kulala ili usingizi wako uwe na baraka, kufuata Sunnah, na kuepuka makosa ya kawaida ambayo wengi wetu tunayafanya bila kujua.
Usisahau kulike, kusubscribe (subscribe), na kuwashirikisha ndugu na marafiki ili nao wapate elimu hii muhimu!