Перейти к содержимому

Tumefanya Tour PALM VILLAGE, Mall ya kisasa inayotikisa jiji la Dar, ni amazing, kuna kila kitu

Simulizi Na Sauti

0:00 / 0:00

Tumefanya Tour PALM VILLAGE, Mall ya kisasa inayotikisa jiji la Dar, ni amazing, kuna kila kitu

16 522 просмотра · 6 лет назад
Simulizi Na Sauti
1,64 млн подписчиков
16 522 просмотра · 6 лет назад
Palm Village Mall, ni eneo la kisasa lililopo Mikocheni, Kwa Warioba jijini Dar es Salaam ambalo limeanza kujipatia umaarufu mkubwa. Kuna shopping mall kubwa yenye maduka ya aina mbalimbali, sehemu za kupumzika, makazi ya watu na vitu vingine. Tumefanya tour kukutembeza kwenye sehemu muhimu