Hawa ndio kuku wa Sh1 Milioni waliotikisa kwenye NANENANE Dodoma; Mwenyewe afunguka anao 150
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
Hawa ndio kuku wa Sh1 Milioni waliotikisa kwenye NANENANE Dodoma; Mwenyewe afunguka anao 150
2 414 просмотров · 3 года назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
2 414 просмотров · 3 года назад
Miongoni mwa vitu vilivyoibua msisimko kwenye maonyesho ya sikukuu ya wakulima maarufu kama nanenane yaliyofanyika jijini Dodoma ni kuku hawa wanaouzwa wawili Sh1 Milioni.
Mfugaji wa kuku hawa Abdulazizi Almasi anaeleza kuhusu kuku huyu mwenye uzito wa kilo 7 hadi nane kutoka Saudiarabia.