SEHEMU YA PILI:KAMA UMEPOTEZA SHAUKU YA MAOMBI!
HOPERISE MINISTRIES TV
0:00 / 0:00
SEHEMU YA PILI:KAMA UMEPOTEZA SHAUKU YA MAOMBI!
114 просмотров · 8 дней назад
HOPERISE MINISTRIES TV
3,46 тыс. подписчиков
114 просмотров · 8 дней назад
#motivation #hopechanneltanzania Je, umepoteza shauku ya kuomba? Je, zamani ulikuwa unapenda kuomba lakini sasa unaona ni vigumu tena kukaa katika maombi?
Katika somo hili tutajifunza kwa nini watu hupoteza shauku ya kuomba na mambo tunayoweza kufanya ili kurudisha hamu na nguvu ya maombi katika maisha yetu.
Usikate tamaa. Mungu bado anakuita katika uwepo wake. Anza tena hatua kwa hatua, na ruhusu maisha yako ya maombi yafufuke.
🙏 Tazama video mpaka mwisho, kisha tushirikishe kwenye maoni: NI KITU GANI KINACHOKUFANYA UPOTEZE SHAUku YA KUOMBA?
🔔 Subscribe kwenye HOPE RISE MINISTRIES TV kwa mafundisho zaidi ya Biblia, maombi na ujumbe wa kukujenga kiroho.
#Maombi #ShaukuYaKuomba #MaishaYaMaombi #MafundishoYaBiblia #HopeRiseMinistriesTV