Tabia 10 za Kufanya Pesa Yako Ibaki | Hata kama Kipato ni Kidogo
Achieve Finance 🇹🇿
0:00 / 0:00
Tabia 10 za Kufanya Pesa Yako Ibaki | Hata kama Kipato ni Kidogo
6 705 просмотров · 4 дня назад
Achieve Finance 🇹🇿
7,98 тыс. подписчиков
6 705 просмотров · 4 дня назад
#achievefinancetz #ElimuyaFedha #TabiazaKifedha
Je, mshahara wako unaisha kabla ya mwezi kukatika na unashindwa kabisa kuweka akiba? Kufikia uhuru wa kifedha sio suala la bahati, bali ni matokeo ya kujijengea nidhamu na misingi imara.
Kwenye video hii, tunakufumbua macho kupitia "TABIA 10 ZA KIFEDHA ZITAKAZOBADILI MAISHA YAKO" na kukutoa kwenye wimbi la madeni na msongo wa mawazo.
Utajifunza mbinu madhubuti za kudhibiti bajeti yako, siri kubwa ya 'kujilipa kwanza' n.k.
Tazama Zaidi:
1️⃣ Tabia 10 Nzuri za kifedha (Part 1): • 1M ndani ya Mwaka? Fanya Tabia hizi 10
2️⃣ Mbinu 20 za Kupunguza Matumizi na Kuokoa Pesa: • Mbinu 20 za Kupunguza Matumizi na Kuokoa P...
3️⃣ Emergency Fund: • Kutoka Tsh 0.00 hadi Kutengeneza Mfuko wa ...
4️⃣ Muongozo wa Uhakika wa Bajeti Yako: • Muongozo wa Uhakika wa Bajeti Yako
Connect with ACHIEVE FINANCE
🟩 WhatsApp FREE Group: https://chat.whatsapp.com/KNhPgx5txkT...
🟩 WhatsApp Me: https://wa.me/message/HRALYVLSK22AC1
🟪 Instagram: / achievefinancetz
🟦 Facebook: / achievefinancetz
🟥 YouTube: / @achievefinancetz
⬛ Tiktok: https://wwwtiktok.com/@achievefinancetz
⬜ Linkedin: / achievefinancetz
📩 Email: info@achievefinance.co.tz
🌍 Website: www.achievefinance.co.tz
_____________________________________________________________
🔗 Anza Safari yako ya Kuwekeza Leo
✅ Tutumie ujumbe kwa WHATSAPP wenye neno FAIDA FUND ili tukusajili na Mfuko wa Uwekezaji wa Faida Fund.
✅ Tutumie ujumbe kwa WHATSAPP wenye neno BROKER ili tukuunganishe na BROKER mzuri wa HISA na HATIFUNGANI.
✅ Tutumie ujumbe kwa WHATSAPP wenye neno MAFUNZO ili tukupe taarifa za mafunzo yanayoanza hivi karibuni ili ushiriki.
✅ Kama utapenda session ya binafsi (One on One Private Consultation), nipatie taarifa kamili ya kile unachopenda tukae na kujifunza → https://forms.gle/rH6g8R93i4WeJ35j9
✅ Kama utapenda kunialika kuongea na Kampuni / Kikundi / Familia ama event yenu, nipatie taarifa kamili ya mahitaji yenu ili tupange siku → https://forms.gle/wC1EssBvAWBre2nSA
_____________________________________________________________
⏱️ Yaliyomo kwenye Video hii
0:00 Utangulizi
0:30 Tabia #5
#TabiaZaKifedha #Mafanikio #ElimuYaFedha #AchieveFinance #Tanzania #FinancialLiteracy #PersonalFinance #WealthBuilding #Ujasiriamali #Akiba