Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera ni Kazi juu ya kazi
H MEDIA
0:00 / 0:00
Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera ni Kazi juu ya kazi
122 просмотра · 4 нед. назад
H MEDIA
1,25 тыс. подписчиков
122 просмотра · 4 нед. назад
Idara ya Maendeleo ya Jamii katika Wilaya ya Muleba, chini ya usimamizi na uongozi wa Mkuu wa Idara, Bi. Edina Kabyazi, inatekeleza majukumu mbalimbali ya kimkakati yenye lengo la kuinua ustawi wa wananchi, kuondoa umaskini, na kukuza usawa katika jamii.
Hapa tumekuwekea kazi kuu na za msingi zinazofanywa na idara hiyo: