Перейти к содержимому

Mhubiri David Owuor afika Kisumu kwa kishindo kwa maombi iliyowavutia maelfu ya Wakristo

KTN News Kenya

0:00 / 0:00

Mhubiri David Owuor afika Kisumu kwa kishindo kwa maombi iliyowavutia maelfu ya Wakristo

103 393 просмотра · 10 лет назад
KTN News Kenya
3,44 млн подписчиков
103 393 просмотра · 10 лет назад
Kila mwaka unapofikia kilele wakenya huukaribisha kwa njia mbali mbali. Baadhi hufika katika maeneo ya burudani, wengine kanisani, baadhi wakisalia nyumbani. Lakini mji wa Kisumu umempokea mgeni wa kipekee ambaye ameandaa maombi katika uwanja wa Kibos ambayo yamevutia maelfu ya Wakristo kutoka hapa nchini na nje ya nchi. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on   / ktnkenya   Like us on   / ktnkenya