Перейти к содержимому

Kiswahili Elimu ya watu wazima Somo la 54: Usemi halisi

ABWAAN

0:00 / 0:00

Kiswahili Elimu ya watu wazima Somo la 54: Usemi halisi

773 просмотра · 2 года назад
ABWAAN
7,99 тыс. подписчиков
773 просмотра · 2 года назад
(Mwalimu Rehema) Usemi halisi pia huitwa usemi wa moja kwa moja. Katika usemi huu maneno ya msemaji hunukuliwa moja kwa moja jinsi alivyoyatamka kutoka kinywani mwake. Tupate sentensi zilizo katika usemi halisi. English translation: Direct speech is a word-to-word repetition of what the speaker or writer has conveyed. In other words, it is a way in which you can report the exact words of the speaker. Let's get sentences that are in direct speech.