MAOMBI YA MCHANA ILI KUIMALISHA UCHUMI - S1EP3
Maombi Madhabahuni
0:00 / 0:00
MAOMBI YA MCHANA ILI KUIMALISHA UCHUMI - S1EP3
196 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
Maombi Madhabahuni
2,17 тыс. подписчиков
196 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
Kupitia MTIRIRIKO WA MAOMBI HAYA YA MCHANA; Mtumishi wa BWANA atakufundisha na kukusaidia katika mambo yafuatayo:
Maisha ni zaidi ya kuwa mshabiki wa mechi ya Simba na Yanga; Unaitaji uchumi imara ili uweze kuwa mtu wa thamani katika jamii yako.
Jinsi MAOMBI YA MCHANA yanavyoweza kukusaidia katika kuzishinda nguvu za giza zilizokusudia kuyumbisha uchumi wako.
Jinsi ya kuomba MAOMBI YA MCHANA ili kumfanya BWANA aimalishe uchumi wako.
Maombi MCHANA kama silaha ya kuwashinda wachawi wanaojiinua kinyume na biashara yako.
Jinsi ya kuiombea biashara yako.
Nguvu ya maombi ya mchana katika kukupatia ushindi dhidi ya roho ya umaskini.
Jinsi ya kuomba na kupambana na nguvu za kudumaa kimaisha.
Jinsi ya kuomba maombi ya vita vya kiroho
Jinsi ya kuomba ili kupokea majibu ya maombi yako kila mchana.
Nguvu ya maombi ya mchana katika kukuwezesha kurejeshewa Baraka zako zilizokuwa zimekamatwa na maadui zako
Nguvu ya kupata kibali kipya katikati ya maadui zako.
Jinsi ya kupokea msaada mpya wa kiungu wakati wa mapambano ya vita vya kiroho
Jinsi ya kujenga madhabahu ya maombi ya mchana, ili kuchochea kuzaliwa kwa mambo mazuri kila siku
Jinsi ya kujiungamanisha na malaika wa mchana kupitia madhabahu ya maombi
Jinsi ya kuomba ili kuzishinda nguvu za giza
MUHIMU KUMBUKA:
Maombi haya ya asubuhi ni sehemu ya mtiririko wa ibada za GURUDUMU LA KINABII; Ibada mbazo zimesheheni moto na asili mbalimbali za BWANA Mungu wetu na Kristo wake hakika.
#maombi
#madhabahuyamoto
#MaombiYaMchana
ENDELEA KUFUATILIA.