#LIVE: AINA 5 ZA NDOTO ZINAZOZUIA BARAKA ZAKO // MBAYA ZAIDI
SIRI ZA BIBLIA
0:00 / 0:00
#LIVE: AINA 5 ZA NDOTO ZINAZOZUIA BARAKA ZAKO // MBAYA ZAIDI
4 425 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
SIRI ZA BIBLIA
194 тыс. подписчиков
4 425 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
Mwanzo 41:1-25
Ikawa, mwisho wa miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto; na tazama, amesimama kando ya mto. Na tazama, ng’ombe saba wazuri, wanono, walipanda kutoka mtoni, wakajilisha manyasini. Na tazama, ng’ombe saba wengine wakapanda nyuma yao kutoka mtoni, wabaya, wamekonda, wakasimama karibu na wale ng’ombe wengine ukingoni mwa mto. Kisha hao ng’ombe wabaya waliokonda wakawala wale ng’ombe saba wazuri, wanono. Basi Farao akaamka. Akalala, akaota ndoto mara ya pili. Tazama, masuke saba yalimea katika bua moja, makubwa, mema. Na tazama, masuke saba membamba, yamekaushwa na upepo wa mashariki, yakatokeza baada yao. Kisha hayo masuke membamba saba yakayala yale masuke saba makubwa yaliyojaa. Basi Farao akaamka, kumbe! Ni ndoto tu. Hata asubuhi roho yake ikafadhaika;
Pastor Innocent Mashauri
+255 758 708804 Whatssap text, Call
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI