Simba SC 3-0 De Agosto | Highlights | CAF Champions League 25/10/2026
Azam TV
0:00 / 0:00
Simba SC 3-0 De Agosto | Highlights | CAF Champions League 25/10/2026
46 303 просмотра · 3 ч назад
Azam TV
3,34 млн подписчиков
46 303 просмотра · 3 ч назад
Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhid ya 15 de Agosto ya Guinea ya Ikweta, na kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya magoli 9-1, kufuatia ushindi wa 6-1 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza.
Katika mchezo huu wa mkondo wa pili uliopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam, magoli yote yamefungwa kipindi cha pili, Akianza Anicet Oura dakika ya 57, Elie Mpanzu dakika ya 68 na Keletso Makgalwa dakika ya 76.