Перейти к содержимому

upishi wa pilau la samaki jinsi ya kupika pilau la samaki lenye kushambuka

laylat mapishi

0:00 / 0:00

upishi wa pilau la samaki jinsi ya kupika pilau la samaki lenye kushambuka

3 461 просмотр · 5 лет назад
laylat mapishi
2,57 тыс. подписчиков
3 461 просмотр · 5 лет назад
Mahitaji Mchele vikombe viwili Samaki kiyasi chako Kitungu maji kimoja kikubwa Kitungu swaumu na tanga wizi iliyo sagwa    • jinsi ya kupika biriani ya kuku kwa njiya ...  kjiko kimoja cha chakula Chumvi kiyasi chako Mbatata mbili Mdalasini wa Unga kijiko kimoja kidogo Karafu mzima kidogo Tungule moja kubwa Uzile mzima kijiko kimoja na uzile wa Unga kijiko kidogo Hiliki mzima tano Pilipili Manga kijiko kidogo ya Unga Magi moja Pilau Biriyani kijiko kimoja Mafuta ya kupika vijiko viwili vya chakula    • jinsi ya kupika biriani ya kuku kwa njiya ...   Jinsi ya kupika biriani ya kuku kwa njiya rahisi