NAFASI YA MWANAMKE KWENYE FAMILIA NA KANISA! With (Pw. Doreen Miamu)EP05
Isaac Mtei
0:00 / 0:00
NAFASI YA MWANAMKE KWENYE FAMILIA NA KANISA! With (Pw. Doreen Miamu)EP05
202 просмотра · 3 недели назад
Isaac Mtei
62 подписчика
202 просмотра · 3 недели назад
Kwenye episode hii ya Theisaacmteishow, Mungu ametupa neema na kibali kuwa na (Pw. Doreen Maimu) kutoka KKKT, DK, Jimbo la Siha, Usharika wa Fuka, Mtaa wa Lomakaa.
Parish worker ameongelea kuhusu nafasi za mwanamke kwenye familia na kanisa, tofauti ya binti na mwanamke, kujitunza kabla ya ndoa, kumwamini Mungu ilikufikia malengo, kumomba MUNGU akupe mume sio mchumba na ushuhuda juu ya maisha yake kabla ya utumishi na baada.
like and subscribe, comment and share ili kufikia watu wengi Mungu awabariki.