Перейти к содержимому

TUSIMAMIE MIRADI ITEKELEZWA KWA KUZINGATIA THAMANI YA PESA - DC MSOFE

KYERWA DC

0:00 / 0:00

TUSIMAMIE MIRADI ITEKELEZWA KWA KUZINGATIA THAMANI YA PESA - DC MSOFE

210 просмотров · 3 недели назад
KYERWA DC
153 подписчика
210 просмотров · 3 недели назад
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, Mhe. Zaituni Msofe, ametoa rai kwa Waheshima Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kushirikiana na wataalam kusimamia miradi ya maendeleo ili iweze kutekelezwa kwa kuzingatia thamani ya pesa inayotolewa katika utekelezaji wake