NITEMBELEE YESU || Ulikuwa nami || Gabriel C Mkude. BY KMC ARUSHA CATHEDRAL Lyrics by Dj Wyma
CATHOLIC MISA MIX TV
0:00 / 0:00
NITEMBELEE YESU || Ulikuwa nami || Gabriel C Mkude. BY KMC ARUSHA CATHEDRAL Lyrics by Dj Wyma
472 391 просмотр · 1 год назад
CATHOLIC MISA MIX TV
171 тыс. подписчиков
472 391 просмотр · 1 год назад
NITEMBELEE BY KMC ARUSHA CATHEDRAL
Ulikuwa na mimi wakati wa shida na wakati wa furaha yangu kwa mkono wako ukaniongoza na sasa ninaomba tena nitembelee (Yesu) nitembelee tena nitembelee mwokozi wangu
2. Ulikuwa pamoja nami katika mapito yangu hukuniacha niangamie mimi niliye mdogo, katikati ya safari yangu nilihisi umeniacha, uje Yesu wangu nitembelee
3. Umekuwa mfariji wangu wakati wa magumu, nikuitapo wakati wowote unaitika tazama na adui zangu unawaibisha naomba uje mwokozi Yesu nitembelee.
4. Njoo njoo Bwana Yesu ninakuhitaji, niendapo, nipitapo, wewe kinga yangu, ndiwe faraja ya moyo wangu, mimi nisiyestahili uje Bwana mwokozi wangu nitembelee Bwana, ninajua unanikumbuka hujaniacha mpweke uje Bwana mwokozi wangu nitembelee.
6. Nawaombea na wale waliokata tamaa, ili nao wajue ya kuwa upo kati yao, waguse Bwana (Mwokozi) mwokozi wajue kuwa wewe upo (waguse) tena mwokozi (watembelee) watembelee Bwana mwokozi, kuwa wewe upo tena (mwokozi) mwokozi watembelee
This channel is all about Catholic Music, Mass, Doctrine, Documentaries, Films, Videos, Reflections and others. Follow us at our official Facebook Group @Catholic forever and on this YouTube Account @Dj Wyma aka Babayao by subscribing and Feel the taste of being a Catholic. Contact us through this email:- catholicmisamixtv@gmail.com Or WhatsApp +254710364647
#kmc
#nitembeleeyesu
#ulikuanamiwakatiwashida
#lyrics
#lyricvideo
#catholicmisamixtv
#catholicmix
#nyimbopendwazakikatoliki
#catholicsongs
#catholicholymass
#capuchintv
#djwyma
#latestcatholicmisamixsongs
#nyimbompyazakikatoliki
#djwymalive
#djwymakatoliki
#djwymababayao
#katoliki
#catholic
#catholicpriest
#revsister
#revfather
#tanzaniacatholicsongs
#kenyacatholicsongs
#mixyacatholic
#mixyakikatoliki
#nyimbompyazatanzania
#nyimbompyazakenya
#babayao