Rais JPM akagua ndege ya Serikali, awapa milioni 10 wachoraji
Azam TV
0:00 / 0:00
Rais JPM akagua ndege ya Serikali, awapa milioni 10 wachoraji
11 138 просмотров · 7 лет назад
Azam TV
3,32 млн подписчиков
11 138 просмотров · 7 лет назад
Rais John Magufuli alipofanya ziara ya kustukiza kwenye karakana za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kwa ajili ya kukagua ukarabati wa ndege ya serikali iliyopakwa rangi kwa gharama nafuu ikilinganishwa na gharama zilizopaswa kwenda kutumika nje ya nchi.