Перейти к содержимому

Tazama highlights za mashindano ya Karate yayaliyofanyika

SAFI SCHOOLS

0:00 / 0:00

Tazama highlights za mashindano ya Karate yayaliyofanyika

199 просмотров · 5 месяцев назад
SAFI SCHOOLS
133 подписчика
199 просмотров · 5 месяцев назад
Tazama highlights za mashindano ya Karate yaliyofanyika leo, ambapo pupils wetu wameonesha kiwango cha juu sana katika Kata na Mapambano ya mtu mmoja mmoja (Individual). Safari ya ushindi haikuwa rahisi kati ya washiriki 14, lakini jitihada zimeleta matokeo ya kishindo: ​🏆 Safi Schools – Imeshika nafasi ya 2 (2nd Rank) kimatokeo. 🥇 Naureen Kaimu – Mchezaji Chipukizi Bora wa Kike & Nafasi ya 2 (Girls). 🥉 Muadhi Soko – Nafasi ya 3. 🏅 Lorelei Mkude – Nafasi ya 4. ​Hii ni mwanzo tu wa safari yetu kuelekea kileleni! Enjoy the action. 🎥✨