Перейти к содержимому

Micko | Koffi Olomide | Tafsiri ya Swahili ao Kiswahili | Loi | Ndombolo | Learn Lingala and Swahili

Bolingo Zaire

0:00 / 0:00

Micko | Koffi Olomide | Tafsiri ya Swahili ao Kiswahili | Loi | Ndombolo | Learn Lingala and Swahili

1 499 просмотров · 4 мес. назад
Bolingo Zaire
2,63 тыс. подписчиков
1 499 просмотров · 4 мес. назад
Karibuni sana kwenye tafsiri ya Swahili ya wimbo "Micko" wake Koffi Olomide. Ndani ya wimbo huu, utasikia historia ya mapenzi ya mwanamke anayeitwa Micko anayesifiwa na mme wake. Watu wote wa Afrika mashariki kama vile: Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Congo mtafurahi sana kusikia wimbo huu unaopatikana ndani ya album Loi katika Kiswahili ao Swahili. Wimbo huu unapatikana katika album ya Loi ambayo inafaamika sana katika midundo ya Ndombolo. Mwanaume anafunguwa wimbo kwa kusema: Micko kuficha makosa sio vizuri hata kidogo. Micko ni mtamu kama sukari, Micko ana'gaa kama diamond. Micko utasababisha niache hii dunia ukinikataa. Micko macho yako ya kurembuwa yana uchokozi sana. Hiyo ni baadhi ya mistari ambayo Micko anaambiwa na mpenzi wake. Je, Micko atalegeya kutokana na maneno hayo ao ataendelea tu kumkataa mume wake? Pata jibu la swali hilo ndani ya wimboo huu. Usikose kuniambia maonin yako kwenye comments section kuhusu historia hii ya kuvutia sana ya mapenzi. Nimetoa pia historia fupi ya maisha ya Micko pamoja na picha zake halisi ndani ya video hiii. Mwishoni mwa wimboo huu nimeongelea kwa ufupi kuhusiana na warembo wanao kata viuno ndani ya wimbo huu. Mmoja kati yao ni marehemu na mwingine ni mweneza injili. Hayo yote utayapata ndani ya wimbo huu, Hivyo basi usikose kupata uhondo wa tafsiri ya kuaminika ya Kiswahili ao Swahili ya wimbo huu. Usisahahu kujiunga na kundi letu hapa Bolingo Zaire kwa ku subscribe na kuomba tafsiri ya wimbo wowote unaoupenda wa Lingala na nitaufsiri katika Kiswahili ao Swahili. #micko #loi #koffiolomide #swahili #swahilitranslation