Перейти к содержимому

Je, unafahamu kuwa 'Pamba Stick' huchangia uharibifu wa sikio? | AfyaCheck

AfyaCheck

0:00 / 0:00

Je, unafahamu kuwa 'Pamba Stick' huchangia uharibifu wa sikio? | AfyaCheck

55 просмотров · 13 дней назад
AfyaCheck
5,36 тыс. подписчиков
55 просмотров · 13 дней назад
Wiki hii tumetembelea kituo cha Hope Hearing Centre Specialized Clinic, kituo ambacho kimejikita kwenye utoaji huduma za afya kwa wale wote wenye changamoto za usikivu ambapo tulihudumia wakazi wa Dar es Salaam waliofika kituoni hapo na pia waliweza kupata vifaa maalumu kwaajili ya kuwasaidia kusikia.