Перейти к содержимому

Tamasha la Museum Art Explosion (MAE) lafana Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni.

National Museum of Tanzania

0:00 / 0:00

Tamasha la Museum Art Explosion (MAE) lafana Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni.

35 просмотров · 12 дней назад
National Museum of Tanzania
104 подписчика
35 просмотров · 12 дней назад
Makumbusho ya Taifa kupitia onesho la Museum Art Explosion kwa kushirikiana na Mtandao wa Wasanii Wanawake Tanzania wamekuletea onyesho la sanaa ikiwemo Sarakasi, Muziki na Maonesho ya Mavazi Live Performance katika ukumbi wa Theatre ulipo Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni, Posta Dar es Salaam.