Перейти к содержимому

KABWE "FADLU HATOSHI YANGA WAMESHINDWANA NA RAMOVIC - NAMUONA AKIFUKUZWA BAADA YA DABI"

Global TV Online

0:00 / 0:00

KABWE "FADLU HATOSHI YANGA WAMESHINDWANA NA RAMOVIC - NAMUONA AKIFUKUZWA BAADA YA DABI"

1 252 просмотра · 7 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
1 252 просмотра · 7 ч назад
KABWE "FADLU HATOSHI YANGA WAMESHINDWANA NA RAMOVIC - NAMUONA AKIFUKUZWA BAADA YA DABI" Mchambuzi wa soka Kabwe amefunguka kwa kina kuhusu hatua ya klabu ya Yanga SC kumsajili kocha Fadlu Davids baada ya kushindwana na Sead Ramovic. Katika mahojiano haya exclusive na Global TV Online, Kabwe anaeleza kwa nini anaamini Yanga hawana uvumilivu wa kutosha kwa Fadlu kama ilivyokuwa kwa Simba SC, changamoto za kimikataba zilizomkwamisha Ramovic, na presha ya matokeo inayowakabili viongozi na mashabiki wa Yanga. Je, Fadlu atamaliza msimu au atafukuzwa mapema? Fuatilia uchambuzi huu mzima! #YangaSC #FadluDavids #KabweUchambuzi #NBCPremierLeague #SimbaSC #GlobalTVOnline ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com