Перейти к содержимому

Mch Andrea Mwaipopo Party No1:KIMBIA KWA AJILI YA MAISHA YAKO: MAFUNDISHO MZITO KUTOKA MWANZO 19:17

MCH.ANDREA MWAIPOPO OFFICIAL CHANNEL 🇹🇿

0:00 / 0:00

Mch Andrea Mwaipopo Party No1:KIMBIA KWA AJILI YA MAISHA YAKO: MAFUNDISHO MZITO KUTOKA MWANZO 19:17

40 просмотров · 6 дней назад
MCH.ANDREA MWAIPOPO OFFICIAL CHANNEL 🇹🇿
37 подписчиков
40 просмотров · 6 дней назад
Katika somo hili la leo, tunajifunza somo muhimu sana kutoka katika kitabu cha Mwanzo 19:17. Mungu anatupatia onyo na maelekezo ya wazi kuhusu hatua za kuchukua ili kuyaokoa maisha yetu kiroho na kimwili: "Kimbia kwa ajili ya nafsi yako; usitazame nyuma, wala usisimame katika bonde hili; kimbilia mlimani usije ukapotea." Tazama video hii mpaka mwisho upate kufunguliwa, kuondokana na mambo ya kale yanayokurudisha nyuma, na kupokea nguvu mpya ya kusonga mbele katika safari yako ya kiimani. Tunaomba uendelee kufuatilia na kusaidia huduma hii ikue na kuwafikia watu wengi zaidi duniani kote. Tafadhali bonyeza button ya SUBSCRIBE, weka LIKE, na SHARE video hii kwa ndugu, jamaa, na marafiki ili ujumbe huu wa neno la Mungu ukawafikie na kubadilisha maisha yao. Sapoti yako ni ya thamani kubwa sana katika kueneza Injili! #Mwanzo1917 #NenoLaMungu #MafundishoYaBiblia #KimbiaKwaAjiliYaMaishaYako #UsitazameNyuma #InjiliYaKristo #MaombiNaMafundisho #AchaKutazamaNyuma #Ibada #christianmotivationalmessage Mwanzo 19:17, Mafundisho ya Biblia, Neno la Mungu, Kimbia kwa ajili ya nafsi yako, Usitazame nyuma, Mahubiri ya leo, Ujumbe wa matumaini, Injili, Maombi ya kuponywa, Somo la Mwanzo 19, Lutu na mke wake, Kuokoka, Maisha ya Ukristo, Mafundisho ya kiroho, Swahili preaching, Kimbilia mlimani, Ujumbe wa Mungu leo