Перейти к содержимому

Jinsi Zanzibar ilivyolazimika kuingia kwenye MUUNGANO kwa presha ya Tanganyika

Zanzibar Kamili TV

0:00 / 0:00

Jinsi Zanzibar ilivyolazimika kuingia kwenye MUUNGANO kwa presha ya Tanganyika

10 208 просмотров · 5 лет назад
Zanzibar Kamili TV
85,7 тыс. подписчиков
10 208 просмотров · 5 лет назад
Katika video hii Ismail Jussa, mwanasiasa na mchambuzi wa masuala ya siasa Zanzibar anachambua jinsi Sheikh Abeid Karume aliyekuwa Rais wa Zanzibar alivyolazimika kuingia katika muungano na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao leo una changamoto na malalamiko lukuki. Kinpindi kamili kilirushwa kwenye chaneli ya Gumzo la Ghassani ambao ndiyo waandaaji wa kipindi hiki. Shukrani kwa Gumzo la Ghassani kwa kukubali tutumie video zao.