Heshima - Amkeni Kwaya Katika Ibada ya Kipaimara tarehe 10 Aug 2025
Amkeni kwaya Anglikana Bagamoyo
0:00 / 0:00
Heshima - Amkeni Kwaya Katika Ibada ya Kipaimara tarehe 10 Aug 2025
1 182 просмотра · 1 год назад
Amkeni kwaya Anglikana Bagamoyo
268 подписчиков
1 182 просмотра · 1 год назад
Wimbo wa "Heshima" ni wimbo wenye ujumbe mzuri kwa watu wa rika zote, jinsia zote na dini zote. Tumekuwekea video iliyochukuliwa katika ibada ya kipaimara iliyoongozwa na Mhashamu Baba Askofu Jackson Sostenes wa kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam tarehe 10 August 2025 hapa katika Mtaa wa Msalaba Mtakatifu Bagamoyo. Karibu kuutazama na unaweza ku-share kwa watu wengine nao waweze kubarikiwa. Usisahau ku-subscribe, ku-like na kuacha comment ya maoni yako ili tuweze kuifanya kazi ya Bwana kwa uzuri zaidi. Barikiwa.